Dhibiti VICOBA kwa Urahisi — Wanachama, Michango, Mikopo & Ripoti.

Faulink Vikoba ni mfumo wa kisasa unaokusaidia kusimamia michango, mikopo, marejesho, faini, na mapato kwa uwazi na ufuatiliaji wa “audit trail”.

Quick Actions
Unda kikundi au wasiliana

0693 118 509
faulink.com
Uwazi • Usalama • Ripoti

Sifa Kuu za Vikoba

Wanachama + Michango + Mikopo + Faini + Mapato — kwa ufuatiliaji sahihi.

Wanachama
Usajili wa wanachama, taarifa, na ufuatiliaji wa michango.
Michango & Hisa
Rekodi michango, hisa, na salio la kila mwanachama.
Mikopo
Toa mkopo, riba, muda, marejesho (daily/weekly/monthly).
Faini & Mapato
Dhibiti faini (late, absence) na vyanzo vya mapato ya kikundi.
Risiti/Vocha
Toa uthibitisho wa miamala ili kuongeza uaminifu.
Ripoti & Uwazi
Ripoti za mapato/matumizi, mikopo, madeni, na faida.

Jinsi Inavyofanya Kazi

Hatua 3: Jisajili → Unda kikundi → Dhibiti miamala & ripoti.


Unda Akaunti
Jisajili kama admin wa kikundi kisha ingia.
Ongeza Wanachama
Weka wanachama, hisa/michango, na vigezo vya mikopo.
Miamala & Ripoti
Rekodi mikopo/marejesho/faini na pata ripoti muda wowote.

Faida

Uwazi + uaminifu + rekodi sahihi kwa kikundi chako.

Ufuatiliaji sahihi
Kila muamala unaonekana: michango, mikopo, marejesho, faini.
Ripoti za haraka
Ripoti za mapato/matumizi na hali ya mikopo kwa muda husika.
Ulinzi wa taarifa
Muundo wa mfumo wa “portal” unaoaminika kwa kikundi.
Uongozi bora
Kamati ina data sahihi kufanya maamuzi ya kikundi.

Maswali

Majibu mafupi. Ukihitaji msaada, WhatsApp ipo.

Unafaa VICOBA/VSLA, vikundi vya akiba na mikopo, SACCOS ndogo, na vikundi vya wanawake/vijana vinavyohitaji rekodi sahihi.

Bonyeza Register kisha ingia kupitia Login.

Angalia Pricing Plan.

Mawasiliano

Kwa msaada wa kuanza au kuset mfumo wa kikundi — wasiliana nasi.

0693 118 509 faulink.com
*Kwa PC: hakikisha WhatsApp Web ime-login.